44_C1_Wimbo niupendao.pdf

(1335 KB) Pobierz
Wimbo niupendao
Ki
l
a asubuhi nikiamka, mama
huniwekea maji ya kuoga bafuni.
Mtoto safi hapati magonjwa.
1
Mama huniambia, ni vizuri kuoga.
Kwanza, mimi husafisha kinywa kwa kupiga mswaki.
Ninasugua mwi
l
i wote kuanzia kichwa, tumbo hata
magoti.
Ninatumia mikono kuoga.
2
Nikima
l
iza kuoga, mimi huchana nywe
l
e kisha
hunywa chai.
Baada ya kunywa chai, mimi huweka mkoba wa
vitabu mgongoni.
Kisha humuaga mama na kwenda shu
l
eni.
3
Mimi na rafiki zangu hutembea hadi shu
l
eni.
Hatuchezi barabarani.
Sisi hutembea kando ya barabara kwa uanga
l
ifu.
4
Zgłoś jeśli naruszono regulamin